Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli
akiongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri mjini Dodoma leo tarehe
9/03/2017. Kikao hicho pia kimehudhuriwa na Makamu wa Rais Samia Suluhu
Hassan pamoja na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa. PICHA NA IKULU.

Rais
Dkt Magufuli akiagana na Makamu wa Rais Mama Samia Suluhu Hassan mapema
leo mchana mara baada ya kumaliza kikao cha Baraza la Mawaziri mjini
Dodoma,kulia ni Waziri Mkuu Kassim Majaliwa
Makamu
wa Rais Mama Samia Suluhu Hassan akijadiliana jambo na Waziri Mkuu
Kassim Majaliwa baada ya kutoka kwenye kikao cha Baraza la
Mawazili,kilichofanyika leo mjini Dodoma
Waziri
wa habari,Utamaduni Sanaa na Michezo,Nape Nnauye akizungumza jambo na
Waziri wa Viwanda,Biashara na Uwekezaji,Charles Mwijage kabla ya kuanza
kikao cha Baraza la Mawaziri mjini Dodoma leo.PICHA NA OFISI YA MAKAMU
WA RAIS.
0 comments:
Post a Comment