Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akiongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri
mjini Dodoma jana tarehe 9/03/2017. Kikao hicho pia kimehudhuriwa na
Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan pamoja na Waziri Mkuu Kassim
Majaliwa. PICHA NA IKULU
Mh. Rais Dk. John Pombe Magufuli
akiagana na Makamu wa Rais Mh. Samia Suluhu Hassan mara baada ya
kumalizika kwa kikao cha baraza la mawaziri mjini Dodoma jana kulia ni
Mh. Mwaziri Mkuu Kassim Majaliwa
Makamu wa Rais Mh. Samia Suluhu Hassan
akizungumza na Balozi John Kijazi Katibu Mkuu Kiongozi wakati wa kikao
cha Baraza la Mawaziri mjini Dodoma jana
Waziri wa Habari, Utamadunzi , Sanaa na
Michezo Mh. Nape Nnauye akimuelrezea jambo Waziri wa Viwanda na Biashara
Mh. Charles Mwijage wakati wa mkutano Baraza la Mawazili uliofanyika
mjini Dodoma jana.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi
akijadiliana jambo na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Uratibu
na Bunge, Mhe Jenista Mhagama wakati wa kikao cha Baraza la Mawaziri
kilichofanyika jana mjini Dodoma.
0 comments:
Post a Comment