
Mbunge
wa Nzega Vijijini ambaye pia ni Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya
Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mh. Dk. Hamisi Kigwangalla akiwa
na Sheikh Mkuu wa Mabohora Duniani, Dkt. Syedna Mufaddal Saifuddin
(kulia) wakati wa kuombewa dua maalum usiku huu.

Sheikh
Mkuu wa Mabohora Duniani, Dkt. Syedna Mufaddal Saifuddin (kulia)
akimuombea Dua maalum Mbunge wa Nzega Vijijini ambaye pia ni Naibu
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mh. Dk.
Hamisi Kigwangalla (kushoto aliyefumba macho)

Dua zikiendelea

Mbunge
wa Nzega Vijijini ambaye pia ni Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya
Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mh. Dk. Hamisi Kigwangalla akibusu mkono
wa Sheikh Mkuu wa Mabohora Duniani, Dkt. Syedna Mufaddal Saifuddin
isharara ya kupokea dua katika tukio hilo

Sheikh Mkuu wa Mabohora Duniani, Dkt. Syedna Mufaddal Saifuddin akimuaga Dk.Kigwangalla baada ya dua

Mbunge wa Iramba Magharibi ambaye pia ni Waziri wa Mambo ya ndani ya nchi, Mh. Mwigulu Nchemba akiombewa dua katika tukio hilo

Watu
kutoka Mataifa mbalimbali Duania ikiwemo jamii ya Bohora ambao pia
wapo hapa nchini nao wamepata bahati ya kuombewa dua maalum na Shehe
huyo Mkuu

Mbunge
wa Nzega Vijijini ambaye pia ni Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya
Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mh. Dk. Hamisi Kigwangalla akitoka
katika tukio hilo la kuombewa dua

Mbunge
wa Iramba Magharibi ambaye pia ni Waziri wa Mambo ya ndani ya nchi, Mh.
Mwigulu Nchemba akitoka katika tukio hilo la kuombewa dua

Mbunge
wa Iramba Magharibi ambaye pia ni Waziri wa Mambo ya ndani ya nchi, Mh.
Mwigulu Nchemba akisalimiana na Mbunge wa Nzega Vijijini ambaye pia ni
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mh.
Dk. Hamisi Kigwangalla wakati wa tukio hilo

Picha ya pamoja

Mbunge
wa Nzega Vijijini ambaye pia ni Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya
Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mh. Dk. Hamisi Kigwangalla akipata picha
pamoja baadhi ya vijana ambao walipata kufunga ndoa na wake zao ndoa
ambazo zaidi ya 50 zimefungwa huku Shehe Mkuu huyo wa Mabohora Duniani
pia alipata kuzibariki.
0 comments:
Post a Comment