METDO Tanzania

METDO Tanzania

Sunday, September 11, 2016

JPM AFUTA SAFARI YAKE YA KWENDA ZAMBIA

Mwenyekiti wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) na Mwenyekiti wa Asasi ya Siasa, Ulinzi na Usalama ya Jumuiya ya Maendeleo ya Kusini mwa Afrika (SADC-TROIKA) ambaye pia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, John P. Magufuli, amefuta safari yake ya kwenda Zambia kwenye mkutano wa SADC pamoja na kuhudhuria sherehe za kuapishwa Rais Edgar Lungu wa nchi hiyo, badala yake amemtuma Makamu wake Mama Samia Sululu Hassan kuiwakilisha Tanzania mkutanoni na shereheni.
Share:

1 comment:

  1. Ahsante kwa taarifa ya Mh. JPM kuahirisha ziara yake Zambia - Mr. Malima

    ReplyDelete

Copyright © WAZO HURU | Powered by Blogger Design by ronangelo | Blogger Theme by NewBloggerThemes.com