Mwenyekiti wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) na Mwenyekiti wa Asasi
ya Siasa, Ulinzi na Usalama ya Jumuiya ya Maendeleo ya Kusini mwa Afrika
(SADC-TROIKA) ambaye pia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,
John P. Magufuli, amefuta safari yake ya kwenda Zambia kwenye mkutano wa
SADC pamoja na kuhudhuria sherehe za kuapishwa Rais Edgar Lungu wa nchi
hiyo, badala yake amemtuma Makamu wake Mama Samia Sululu Hassan
kuiwakilisha Tanzania mkutanoni na shereheni.
Ahsante kwa taarifa ya Mh. JPM kuahirisha ziara yake Zambia - Mr. Malima
ReplyDelete