ABIRIA wanaotumia usafiri wa treni inayofanya safari kati ya
Stesheni, Dar es Salaam na Pugu, wataanza kulipa nauli ya Sh 600 baada
ya nauli hiyo kupitishwa na Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri wa Nchi Kavu
na Majini (Sumatra).
Awali treni hiyo ya Kampuni ya Reli Tanzania (TRL) ilikuwa ikitoza Sh
400 kwa mtu mzima na mwanafunzi Sh 200 wakati treni hiyo ilipokuwa
katika majaribio.
Wanafunzi watalipa Sh 100 kutoka kituo kimoja hadi kingine.
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa TRL, Ng’hwani Rashid amesema, kampuni hiyo
ilikuwa ikitoza Sh 400 wakati ikisubiri kukamilika kwa mchakato wa
ukokotoaji nauli ambao umesimamiwa na Sumatra.
Tuesday, August 30, 2016
KARIBU TUME YA MAENDELEO YA USHIRIKA
KARIBU TUME YA MAENDELEO YA USHIRIKA
Popular Posts
-
Katibu Mkuu wa Wizara ya kilimo Mhandisi Mathew Mtigumwe Na Mathias Canal, Wizara ya Kilimo-Dodoma Katibu Mkuu wa Wizara ya kilim...
-
Nimebahatika kupata fursa kadhaa kukaa na kuzungumza na Mheshimiwa Rais Mstaafu Hayati Benjamin William Mkapa enzi za uhai wake....
-
YANGA jana imerejesha furaha kwa mashabiki wake baada ya kushinda mabao 3-0 dhidi ya Majimaji katika mechi ya Ligi Kuu iliyochezwa kwenye...
-
Na WJJWM, DSM Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Maku...
-
Waziri wa Kilimo Mhe Japhet Hasunga (Kulia) akiwa na mwenyeji wake ambaye ni Balozi wa Tanzania nchini Italia Mhe George Kahema Madafa m...
Powered by Blogger.

0 comments:
Post a Comment