Mkuu wa
Kitengo cha Fedha Benki ya DTB Tawi la Zanzibar Ndg Shahr Mohammed
kushoko akimkabidhi msaada wa Vitu kwa ajili ya Madrasa hiyo inayotowa
Elimu ya Mafunzo kwa Walimu wa Skuli za Maandalizi Zanzibar, akipokea
msaada huo wa Vitu 40 kwa ajili ya Taasisi hiyo ya Programu ya Makuzi na
Maendeleo ya Watoto Madrasa Ndg Khamis Said Abdallah hafla hiyo
imefanyika katika Kityuo hicho kiponda Zanzibar wakishuhudia Wafanyakazi
wa DTB na Kituo hicho.
Mkuu wa
Kitengo cha Fedha Benki ya DTB Ndg Shahr Mohammed akikabidhi msaada wa
Vitu vilivyotolewa na Benki hiyo kwa ajili ya matumizi ya Kituo hicho
akipokea msaada huo Mkurugenzi wa Programu ya Makuzi na Maendeleo ya
Watoto na Madrasa Ndg Khamis Said Abdalla.
Mkuu wa
Kitengo cha Fedha Benki ya DTB Tawi la Zanzibar Ndg Shahr Mohammed,
akizungumza na wakati wa hafla hiyo ya kukabidhi viti hivyo 40 kwa ajili
ya Kituo hicho ni moja ya misaada yao kwa jamii kutumia faida
wanayoipata kusaidi miradi ya Jamii.Hafla hiyo imefanyika katika Kituo
cha Madrasa Kiponda Zanzibar.
Mkurugenzi
wa Kituo hicho cha Programu ya Makuzi na Maendeleo ya Watoto na Madrasa
Ndg. Khamis Said Abdallah akitowa shukrani kwa Benki ya DTB kwa msaada
wao huo wameotowa wakati muafaka wakati kituo hicho kina upungufu wa
thamanin kwa walimu wanaopata mafunzo katika kituo hicho.
0 comments:
Post a Comment