![]() | |
mathias canal |
![]() | |
Mmiliki wa wazohuru blogspot Aka MR Wakati mwema |
Neno La Wakati Mwema
Unafiki ni kitu kibaya sana
ASKOFU GWAJIMA KUBWA JINGA
Juzi nikiwa nimetuama mahala nikifatilia baadhi ya video nilizotumwa na
marafiki zangu kupitia makundi ya Watsup, nilifarijika kukutana na
sauti ya Mtumishi wa Mungu Askofu Josephat Mathias Gwajima akizungumzia
sakata lake kuwa hakuwahi kumuunga mkono mgombea Urais kwa Tiketi ya
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Edward Lowassa zaidi sana
alikwenda mbali zaidi akisema aliunga mkono mabadiliko ya nchi sio mtu.
(Unafiki ni kitu kibaya sana)
Kwangu haikuwa kauli ya kushangaza sana kwa kuwa nilitegemea mbeleni itakuwa hivyo, maana watumishi wengi sana mfano wa Gwajima ni wachache wa fikra zaidi sana wamejawa na ulafi na uongo kwa mambo yasiyowezekana.
Wengine walishangazwa sana na kauli hii ya mtumishi huyo ambaye wengine wanamuita mpakwa mafuta wa mungu...Mimi namuona ni mpakata dhambi za wanaumini wenye imani kubwa nae lakini kumbe ni shangingi wa injili.
(Unafiki ni kitu kibaya sana)
Kuna rafiki yangu mmoja ambaye alikuwa anampenda sana Gwajima kutokana na kauli zake kidini lakini alipata mashaka nae pale Gwajima alipoanza kutajwa tu kama Askofu anayetembea na wake za watu hususani lile sakata lake na mwimbaji Frola Mbasha ambapo Gwajima anatajwa kuzaa na muimbaji huyo mwenye ndoa yake takatifu na mwimbaji mwenzake Emmanuely Mbasha.Hapa Usininukuu
(Unafiki ni kitu kibaya sana)
Pengine bado sijaeleweka vizuri naomba nikukumbushe maneno aliyoyatamka Askofu Gwajima siku ya uzinduzi wa kampeni za Chadema pale Jangwani Jijini Dar es salaam.Naweka maneno aliyosema yeye sitoongeza hata chembe
ASKOFU GWAJIMA KUBWA JINGA
"Sasa majira haya ni ya Edward Lowassa pamoja na Duni Haji hakuna atakayewazuia, Kwa jina la Yesu, ninalazimisha kila roho ya mwanadamu atii nyakati hizi.
Bwana umfanye Lowassa pamoja na Duni Haji na hakuna atakayewazuia, kwa jina la Yesu ninalazimisha kila roho mwanadamu atii nyakati hizi.
Bwana umfanye Lowassa na Duni Haji kuwa wakina Joshua wetu watakao tuvusha kwenye mto Jordan watupeleke kwenye nchi ya ahadi katika jina la yesu.Mungu kama vile ulivyowaangamiza watu wote walioshindana na watu wako ndivyo uwaangamize watu wote watakaonyoosha mkono juu ya Edward Lowassa na juu ya Duni Haji katika Jina la Yesu.
Ninaomba uwabariki wenyeviti wote wa Ukawa na Tanzania uihamishe kutoka mikononi mwao na watu waseme Imeshakuwaaaaa, watu hawakusita waliitika.
Imeshakuwaaaaaaa"
Sio maneno yangu, sio maneno yako La Hasha...Haya ni maneno ya Askofu Gwajima kubwa jinga.Ni wapi alitamka neno mabadiliko?
Naamini umenielewa vyema
(Unafiki ni kitu kibaya sana)
Huyu mtu anaitwa Gwajima juzi amekanusha akisema kuwa hakuwahi kumuunga mkono Lowassa wala Ukawa bali aliunga mkono Mabadiliko tafadhali rudi tena fatilia sala la huyu mnafiki utajifunza kitu.
Sina mengi
(Unafiki ni kitu kibaya sana)
Ni Neno La Wakati Mwema
Mathias Canal Mnyiramba
Nimetuama Dodoma
0756413465

0 comments:
Post a Comment