Diamond (wa tatu kutoka kushoto), akiwaongoza wenzake kwa kumuimbia wimbo wa birthday dada yake.
Queen Darleen akimshukuru kwa zawadi ya gari Diamond.
Queen Darleen akimlisha keki Diamond.
Meneja wa Diamond, Babu Tale (kulia), akimmwagia maji Queen Darleen.
Msanii wa Bongo Fleva, Mwasiti Alimasi na wenzake awakimtaabisha Queen Darleen kwa kumpakaa keki.(P.T)
Baadhi ya
madansa wa Diamond wakimtaabisha Queen Darleen kwa kummwagia mchanga na
maji kama ishara ya kumpongeza muda mfupi baada ya siku ya kuzaliwa
kwake kutimia.
Shetta akimmwagia maji Queen Darleen.
Halima Kimwana akilishwa keki.
Queen Darleen akiwa kwenye pozi na ndugu jamaa na marafiki wakati wa kulishana keki.
Msanii wa Bongo Fleva Linah akilishwa keki.
Queen Darleen akimlisha keki rafiki yake kipenzi aitwaye Mwengi.
Mmoja wa kaka wa Queen Darleen akilishwa keki.
Msanii chipukizi katika lebo ya WCB, Harmonizer akilishwa keki.
Mwasiti akishirikiana na wenzake kumtaabisha kwa kumpaka tope Queen Darleen.
Queen Darleen akiwa chini huku baadhi ya marafiki zake wakimmwagia maji.
Babu Tale akimuongoza Queen Darleen tayari kwa kumuonyesha 'surprise' ya gari.
Msanii wa Bongo Fleva, Msamy (kulia), akiwa amekumbatiana na Queen Darleen mara baada ya kulishwa keki.
MKALI wa
Bongo Fleva Afrika Mashariki na Kati, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’,
usiku wa kuamkia leo amemfanyia bonge la 'surprise' dada yake Queen
Darleen kwa kumpatia gari mpya aina ya Toyota Ractis.
'Surprise'
hiyo ilifanyikia kwenye eneo la ofisi za Wasafi Classic Baby zilizopo
Sinza Mori jijini Dar es Salaam, ambapo Queen Darleen alikuwa
akisherehekea siku yake ya kuzaliwa punde tu baada ya saa 6 usiku
kutimia.
0 comments:
Post a Comment