Waanchi
wakifuatilia hotuba ya Mgombea Urais wa CCM Dkt Magufuli katika mkutano
wa kampeni uliofanyika katika uwanja wa Tamasha-Peramiho mkoani Ruvuma
jioni ya jana.
Wananchi wakishangilia
Umati wa
wakazi wa Peramiho wakisikiliza hotuba ya Mgombea wa Urais kupitia
Chama Cha Mapinduzi (CCM)Dk. John Pombe Magufuli wakati wa mkutano wa
kampeni katika uwanja wa Tamasha ndani ya jimbo la Peramiho mkoani
Ruvuma.
Baadhi ya Wananchi wa Peramiho wakifurahia jamo kwenye mkutano wa hadhara wa kampeni.
Mgombea
urais wa Tanzania kupitiaa CCM,, dK John Magufuli akiwa na watoto
aliowapatia zawadi alipokuwa akiondoka baada ya kujinadi katika Jimbo la
Peramiho, mkoani Ruvuma
Mgombea wa Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM)Dk. John Pombe Magufuli akiwaaga wakazi wa Mbinga.
Wananchi wakishangilia jambo kwenye mkutano wa kampeni za ccm jana jioni ndani ya uwanja wa Maji Maji mjini Songea.
0 comments:
Post a Comment