METDO Tanzania

METDO Tanzania

Saturday, July 4, 2015

SIKU YA UTALII CHUO KIKUU CHA IRINGA ELIMU YA NAMANA UTALII WA ASILI UTAMKWAMUA MWANANCHI KUONDOKANA NA UFUKALA.







Hizi ni baadhi ya bidhaa ambazo zilikuwapo katika maonyesho ya siku hii ya utalii



 hiki ni chakula cha kiasli kinachopatikana zaidi Iringa kinaitwa Mkunungu


Hawa ni baadhi ya viongozi wa chuo kikuu cha iringa


Kutokana na mfumo wa namna ambavyo utalii huu unaweza kunufaisha kila Nyanja kuanzia kwa mtunzi wa utalii,mpishi wa hotel,Msafirishaji wa abiria yaani watalii hao na mutoa ufafanuzi wa elimu hiyo utalii ungewaza kuwa chanzo cha kukomesha ufukala kwa wananchi wenye vivutio vya asili kama Iringa.

Haya yamebainishwa na Profesa wa chuo kikuu cha Iringa kaitika kusherehekea siku ya utalii chuo kikuu cha Iringa huku akiviasa vyombo vya habari na wanahabari kutangaza zaidi vivutio vya utalii vya mkoa wa Iringa ikiwa pamoja na kuhamasisha zaidi jinsi gani jamii inayozungukwa na vivutio hivyo inavyoweza kunufaika na uwepo wa vivutio hivyo.

Na kwaupande wa msimamizi wa mradi wa Fahari Yetu Inayohusika na utalii wa asili amesema kutokana na namna ambavyowanairinga walivyotambua umuhimu wa utalii wa asili shirika hilo kushirikiana na halmashauri ya Iringa wameandaa mashindano ya asili ikiwapo kupika vyakula vya asili na kucheza ngoa za asili na mambo mengine mengi ambayo yanatambulisha asili ya mtu wa Iringa.

Share:

0 comments:

Post a Comment

Copyright © WAZO HURU | Powered by Blogger Design by ronangelo | Blogger Theme by NewBloggerThemes.com