METDO Tanzania

METDO Tanzania

Monday, June 22, 2015

UKILALA DODOMA UNAAMKIA IRINGA WIKENDI INAKUWA IMEKAMILIKA




Neno La Wakati Mwema   


Ama hakika mkoa wa Dodoma na Iringa ni marafiki sana kwanza ni mikoa jirani japo inatofautiana mkoa mwingine unalima sana zabibu na mwingine unalima sana mahindi.

Ipo wazi urafiki wa Iringa na Dodoma ni urafiki wa Zabibu na Mahindi.

Urafiki huu kati ya Zabibu na Mahindi SIO urafiki wa mashaka ni kama ilivyo urafiki wangu na Meena hautengenezwi sasa ulishajitengeneza kale.

Naam, tulilala Dodoma tukaamkia Iringa lakini Dodoma bunge la bajeti linaendelea japo sisi sio wabunge ila hushiriki mara kadha.

Ni Neno La Wakati Mwema
Mathias Canal
0756413465
Dodoma ama Iringa
Share:

0 comments:

Post a Comment

Copyright © WAZO HURU | Powered by Blogger Design by ronangelo | Blogger Theme by NewBloggerThemes.com