METDO Tanzania

METDO Tanzania

Sunday, June 21, 2015

Mapokezi ya Mh January Makamba Jiji la Mwanza akisaka wadhamini


IMG_2702
 Waendesha boda boda wakiongoza mapokezi ya Mh. January Makamba alipowasili jijini Mwanza kuelekea Ukumbi wa Nyanza.


IMG_2770
 Mh. January Makamba na Mkewe wakitembea pamoja na Wana CCM katika mitaa ya jijini Mwanza mara walipowasili katika jiji hilo kutafuta wadhamini.(Picha zote na John Sambila).

Mbunge wa Bumbuli, Mh. January Makamba ambaye anazunguuka mikoani kwa sasa kusaka wadhamini, jana alikua katika Jiji la Mwanza huku mamia ya wanachama na wakazi wa Mwanza walifurika katika ukumbi wa Nyanza kumsikiliza Mh January.
Makamba ametoa ahadi kwa wakazi wa Mwanza kuwa hataka kama hatofanikiwa katika Mchakato huu hatokua na kinyongo wala Chuki kwa atakayeteuliwa.
Kwa upande mwingine Mh January amesema kuwa anamajibu ya kiuchumi katika Jiji la Mwanza na endapo akifanikiwa kupata nafasi hiyo atabadilisha uchumi wa jiji la Mwanza kwa kutumia rasilimali za jiji hilo la Mwanza.


IMG_2656
Mh. January Makamba akiagana na Wana CCM jijini Mwanza.
Share:

0 comments:

Post a Comment

Copyright © WAZO HURU | Powered by Blogger Design by ronangelo | Blogger Theme by NewBloggerThemes.com