METDO Tanzania

METDO Tanzania

Sunday, June 21, 2015

KIKAO CHA KAMATI MAALUM YA HALMASHAURI KUU YA TAIFA CCM (NEC) YA ZANZIBAR



01
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Viongozi wa Chama wakati alipowasili katika Viwanja vya Ofisi Kuu ya CCM  Kisiwandui Mjini Unguja leo, kushiriki katika kikao cha siku moja cha Kamati Maalum ya Halamashauri Kuu ya Taifa CCM (NEC).


06
Naibu katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Vuai Ali Vuai akitoa taarifa za Kikao cha siku moja cha Kamati Maalum ya Halamashauri Kuu ya Taifa CCM (NEC),kilichofanyika leo katika ukumbi wa Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Mjini Unguja,mbele ya Mwenyekiti Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein (wa pili kulia) wengine Makamo wa Pili wa rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi (kushoto)na Makamo wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Mohamed Gharib Bilali.

 07

Baadhi ya wajumbe wa Kikao cha siku moja cha Kamati Maalum ya Halamashauri Kuu ya Taifa CCM (NEC) wakisikiliza taarifa za na Agenda za kikao zilizotolewa na Naibu katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Vuai Ali Vuai mbele ya Mwenyekiti  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein leo katika ukumbi wa Ofisi ya CCM Kisiwandui Mjini Unguja.
Share:

0 comments:

Post a Comment

Copyright © WAZO HURU | Powered by Blogger Design by ronangelo | Blogger Theme by NewBloggerThemes.com