METDO Tanzania

METDO Tanzania

Sunday, June 21, 2015

CHAMA CHA MAPINDUZI ILIKUONGOZA NCHI KINATAKIWA KUJIFUNZA YALIYOTOKEA MWAKA 2010 IRINGA NA ARUSHA KATIKA UCHAGUZI WA WABUNGE ILI KUEPUKA NCHI KUONGOZWA NA CHAMA PINZANI.





 Nibaadhi ya watu waliofika katika k.umuunganga mkono mgombea urais EDWARD LOWASA
Hayoyamezungumzwa na Askofu wa Kanisa La Kilutheli La kikristo Tanzania mara baada ya Waziri mkuu mstaafu Edward Lowasa kuwasili katika mkoa wa Iringa kutafuta wadhamini katika kinyang’anyilo cha kuteuliwa na chama kugombea urais,Katika mkutano ambao mtangazania huyo alijipatia wadhamini zaidi ya elfu 59 ikiwa ni takwimu za mkoa wa Iringa pekee.
Mkutano huo ambao ulikuwa na umati mkubwa wa watu kiasi cha kuvunja record za mikoa mingine ambayo amekwisha kutembelea mtangazania huyo huku wazee wa kimila,viongozi wa Dini mbalimbali,na chifu wa wahehe wakimtakia safari yake iwe ya mafanikio dipo asikofu alipowaasa viongozi wa chama ca mapinduzi kumpitisha kiongozi anayependwa na wananchi na sio na viongozi wao."Iringa ni ngumu,Mbeya ni Ngumu na Kilimanjaro ni pagumu sana kilichosababisha ni kiliocha wanyonge maana kilio cha wanyonge nikilio cha mungu,Amani inatokana na watu na mshikamano uliopo unatokana na watu hivyo chama kinapaswa kulitazama hilo"
Wakati huohuo chief aliyekaimu kitihicho kwa mda Bwana Gerald Malangalila Amepasifa kiongozi huyo mstaafu wa Uwaziri mkuu kwa uchapaji wake kazi kipindi alipokuwa madalakani.



Share:

0 comments:

Post a Comment

Copyright © WAZO HURU | Powered by Blogger Design by ronangelo | Blogger Theme by NewBloggerThemes.com