METDO Tanzania

METDO Tanzania

Saturday, June 27, 2015

MAMIA YA WANANCHI WA MKOANI IRINGA WAMETOA KERO NA MIGOGORO YAO YA ARDHI AMBAYO IMEDUMU KWA MDA MREFU PASPO KUTATULIKA KWA WAZIRI WA ARDHI,NYUMBA A MAKAZI.

Tuko hilo limefayika hii leo katika ukumbi wa halmashauri ya iringa ambapo zadi ya wananchi 300 wamehudhulia wakiwa na migogoro ya ardhi ya aina tofauti ikiwa mgogoro wa wakazi waishio mjii uuzwaji wa kiwanja kimoja kwa watu wawili na kuchelelewa kulipwa fidia kwa wananchi ambao maeneo yao yamepimwa na kuuzwa kwa watu wengie huku wananch wa vijiji ukosefu wa hati za kumiliki ardhi kimila na kiserikali ndio sababu kubwa iliyopelekea migogoro baina ya familia na familia na swala la mabalaza ya ardhi ya ngazi ya kijiji na kata kutomaliza kes hizo kwa wakati.





Kwaupade wa Waziri huyo MH.Wiliam Lukuvi amesema migogoro iliyopo katika mkoa wa Iringa haitofautiani na mikoa migie ambayo amekwisha kuitembelea ingawa katika migogoro hiyo amekuwa na timu yake ya usuruhishi wa migogoro hiyo kutokana na baadhi ya watendaji wa halmashauri wamekuwa siowaamiifu kutokana kuchukua rushwa na wegie kujimilikisha wao ardhi hizo ambapo amewataka viongozi wa mkoa husika ambapo hufika a kutatua migogoro hiyo kuwapo na kusikiliza kile tuu ambacho kiazugumzwa na kujibia yale wanayohusishwa nayo.
Waziri  na mbuge wa jimbo la Ismani amesema wananchi wanatakiwa kujiwekea utalatibu wa kuwa na hati za kumiliki ardhi ikiwa za kimila au za kiserikali na kuwa na utaratibu wa kuzilipia hati hizo kwa kufikia mwezi wa saba mwaka huu waziri huyo amepuguza ada ya hati hizo kutoka shilingi 1000 kwa mwaka hadi shilingi 400 kwa mwaka ikiwa pamoja na nauli na posho ya kuwatoa wataaramu kutoka mjini hadi vijiji kwenda kupima ardhi kutoka shilingi laki 8 hadi shiligi laki 3 ili kuwezesha jamii hiyo kimiliki ardhi ambayo itamwezesha kuinua uchumi kwa mtu mmoja mmoja kwai kuwa na hati ya kumiliki shamba kuamwesha kukopa katika taasisis za mikopo kupitia hati hiyo.
Share:

0 comments:

Post a Comment

Copyright © WAZO HURU | Powered by Blogger Design by ronangelo | Blogger Theme by NewBloggerThemes.com