Mkuu wa
Wakurugenzi wa Kampuni ya Alarko kutoka nchini Uturuki Bw. Izzet Garih
(wa kwanza kushoto) akizungumzia kuhusu ushirikiano baina ya kampuni
hiyo na sekta ya mawasiliano, na (wa kwanza kulia) ni Katibu Mkuu wa
Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano anayesimamia sekta ya
Mawasiliano Prof. Faustin Kamuzora.
Afisa
Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL) Dkt. Kamugisha Kazaura
akizungumza wakati wa kikao cha Ushirikiano baina Sekta ya
Mawasiliano na Kampuni ya Alarko.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano anayesimamia sekta ya Mawasiliano Prof. Faustin Kamuzora akiwa katika picha ya pamoja na Wakurugenzi wa Kampuni ya Alarko kutoka nchini Uturuki Bw. Izzet Garih
0 comments:
Post a Comment