METDO Tanzania

METDO Tanzania

Monday, June 15, 2015

Ajali ya Costa na Lori mafinga hapo jana yalejesha simanzi tena



Hii ni gai aina ya Anothe g iliyosababisha vifo vya zaidi ya watu 20 kutokana na taaifa za baadhi ya viongozi waliopo katika mji huu wa mafinga.


Na hawa nibaadhi ya ndugu waliofika katika hospitali ya mji wa mafinga kutizama ndugu na jamaa waliokuwapo kwenye gai hiyo huku wengine wakijitokeza kujitolea damu kwaajiri ya majeruhi wa ajali hiyo iliyo husisha costa hiyo na lori.

  Tutazidi kukujuza zaidi nini kimejii baada ya kamanda wa jeshi la polis mkoa wa Iringa atakapo zungumza na waandishi wa habari baada ya kukusanyataairifa za nini chanzo cha ajali hiyo.
Share:

0 comments:

Post a Comment

Copyright © WAZO HURU | Powered by Blogger Design by ronangelo | Blogger Theme by NewBloggerThemes.com