Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara, Ndugu Abdurahman Kinana akizungumza na Balozi wa Norway Nchini Tanzania Mhe. Tone Tinnes walipokutana leo Jumatano, Oktoba 11, 2023, katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Mtaa wa Lumumba, jijini Dar es salaaam. (Picha na Fahadi Siraji )
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara, Ndugu Abdurahman Kinana akiwa katika Picha ya Pamoja na Balozi wa Norway Nchini Tanzania Mhe. Tone Tinnes walipokutana na kufanya mazungumzo leo Jumatano, Oktoba 11, 2023, katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Mtaa wa Lumumba, jijini Dar es salaaam.(Picha na Fahadi Siraji )
0 comments:
Post a Comment