Wednesday, October 11, 2023

KINANA AZUNGUMZA NA BALOZI WA NORWAY NCHINI TANZANIA MHE. TONE TINNES LEO OFISI NDOGO YA MAKAO MAKUU YA CCM LUMUMBA DSM.

Makamu Mwenyekiti wa  Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara, Ndugu Abdurahman Kinana akizungumza na  Balozi wa Norway Nchini Tanzania Mhe. Tone Tinnes walipokutana   leo Jumatano, Oktoba 11, 2023, katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Mtaa wa Lumumba, jijini Dar es salaaam. (Picha na Fahadi Siraji )

Makamu Mwenyekiti wa  Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara, Ndugu Abdurahman Kinana akiwa katika Picha ya Pamoja na  Balozi wa Norway Nchini Tanzania Mhe. Tone Tinnes walipokutana na kufanya mazungumzo  leo Jumatano, Oktoba 11, 2023, katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Mtaa wa Lumumba, jijini Dar es salaaam.(Picha na Fahadi Siraji )

No comments:

Post a Comment