METDO Tanzania

METDO Tanzania

Thursday, August 11, 2022

ZIARA YA KATIBU MKUU CCM MUHEZA TANGA

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Daniel Chongolo akiongozana na Mbunge wa Jimbo la Muheza Hamis Mwinjuma pamoja na Mkuu wa Mkoa wa Tanga Ndugu Omary Mgumba (kushoto) mara baada ya kukagua mradi wa ujenzi wa Shule ya Sekondari Kisiwani iliyopo kata ya Kisiwani wilaya ya Muheza mkoani Tanga. 

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Daniel Chongolo akisalimiana na Viongozi pamoja na wananchi waliojitokeza kumlaki alipowasili kwenye shina namba 3, Tawi la Semwaliko kata ya Kilulu, Muheza mkoani Tanga.

Share:

0 comments:

Post a Comment

Copyright © WAZO HURU | Powered by Blogger Design by ronangelo | Blogger Theme by NewBloggerThemes.com