Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan akipokea kombe la Dunia kutoka kwa Mwakilishi wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Duniani (FIFA), ambaye pia ni mchezaji wa zamani wa klabu ya Chelsea, Barcelona pamoja na timu ya Taifa ya Brazili Juliano Belletti katika hafla ya kupokea kombe hilo leo Mei 30,2022 Ikulu Jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan akipokea zawadi mfano wa kombe la Dunia kutoka kwa Mwakilishi wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Duniani (FIFA), ambaye pia ni mchezaji wa zamani wa klabu ya Chelsea, Barcelona pamoja na timu ya Taifa ya Brazili Juliano Belletti katika hafla ya kupokea kombe hilo leo Mei 30,2022 Ikulu Jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan akipata picha ya pamoja na Mwakilishi wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Duniani (FIFA), ambaye pia ni mchezaji wa zamani wa klabu ya Chelsea, Barcelona pamoja na timu ya Taifa ya Brazili Juliano Belletti katika hafla ya kupokea kombe hilo leo Mei 30,2022 Ikulu Jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan akimkabidhi zawadi Mwakilishi wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Duniani (FIFA), ambaye pia ni mchezaji wa zamani wa klabu ya Chelsea, Barcelona pamoja na timu ya Taifa ya Brazili Juliano Belletti katika hafla ya kupokea kombe hilo leo Mei 30,2022 Ikulu Jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan akimkabidhi zawadi Mwakilishi wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Duniani (FIFA), ambaye pia ni mchezaji wa zamani wa klabu ya Chelsea, Barcelona pamoja na timu ya Taifa ya Brazili Juliano Belletti katika hafla ya kupokea kombe hilo leo Mei 30,2022 Ikulu Jijini Dar es Salaam.
Mwakilishi wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Duniani (FIFA), ambaye pia ni mchezaji wa zamani wa klabu ya Chelsea, Barcelona pamoja na timu ya Taifa ya Brazili Juliano Belletti akizungumza katika hafla ya Tanzania kupokea kombe la Dunia, hafla iliyofanyika leo Mei 30,2022 Ikulu Jijini Dar es Salaam, mgeni rasmi akiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan
Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo. Mhe, Mohamed Mchengerwa akizungumza katika hafla ya kupokea kombe la Dunia leo Mei 30,2022 Ikulu Jijini Dar es Salaam mgeni rasmi akiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan
Katibu Mkuu wa Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo. Dkt.Hassan Abbas akizungumza katika hafla ya kupokea kombe la Dunia leo Mei 30,2022 Ikulu Jijini Dar es Salaam ambapo mgeni rasmi akiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan.
Baadhi ya wachezaji wa zamani wa Tanzania pamoja na wadau mbalimbali wa mpira wa miguu nchini wakifuatilia hafla ya kupokea kombe la Dunia, leo Mei 30,2022 Ikulu Jijini Dar es Salaam ambapo mgeni rasmi akiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan.
Tuesday, May 31, 2022
KARIBU TUME YA MAENDELEO YA USHIRIKA
KARIBU TUME YA MAENDELEO YA USHIRIKA
Popular Posts
-
Kiongozi wa chama cha upinzani cha Forum for Democratic Change (FDC) nchini Uganda Kizza Besigye amekamatwa tena na maafisa wa polisi. ...
-
📌 Asema Rais, Dkt. Samia anafanya kazi kubwa ya kuwaunganisha Watanzaia 📌 Atak...
-
Na Hamis Hussein -SINGIDA Umoja wa machifu mkoa wa singida umewaomba wanaumoja huo kufanya zoezi la kuwasimika machifu wengine katika maene...
-
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiongoza Kikao cha Kamati ya Pamoja ya Serikali ya Jamhuri ya...
-
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Jenista Mhagama (kulia) aki...
Powered by Blogger.
0 comments:
Post a Comment