METDO Tanzania

METDO Tanzania

Wednesday, September 29, 2021

RAIS DKT.MWINYI ASHIRIKI MKUTANO WA VIONGOZI WA MADHEHEBU YA DINI YA KIKRISTO ZANZIBAR

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti a Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Viongozi wa Dini ya Kikristo  alipowasili katika viwanja vya Ukumbi wa Amani Utengamano Welezo Mjini  Zanzibar kwa ajili ya Mkutano wa Viongozi hao uliofanyika leo.[Picha na Ikulu] 29/09/2021. 

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti a Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akiteta na baadhi  ya Viongozi wa Dini ya Kikristo   kabla  ya Mkutano wa Viongozi hao uliofanyika leo   katika Ofisi ya Ukumbi wa Amani Utengamano Welezo Mjini  Zanzibar.[Picha na Ikulu] 29/09/2021.

Baadhi ya Masister na Viongozi wengine wa Madhehebu ya Dini ya Kikristo ni miongoni mwa washiriki wa mkutano wa Viongozi hao uliofanyika leo katika Ukumbi wa Amani Utengamano Welezo Mjini  Zanzibar mgeni rasmi alikuwa rais wa Zanzibar na mwenyekiti wa Baraza la mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi.[Picha na Ikulu] 29/09/2021.

Baadhi ya  Viongozi  wa Madhehebu ya Dini ya Kikristo wakimsikiliza  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi.alipokuwa akizungumza na Viongozi hao katika mkutano uliofanyika leo katika Ukumbi wa Amani Utengamano Welezo Mjini  Zanzibar  [Picha na Ikulu] 29/09/2021. 

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti a Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) alipokuwa akizungumza na Viongozi  wa Madhehebu ya Dini ya Kikristo katika mkutano uliofanyika leo katika Ukumbi wa Amani Utengamano Welezo Mjini  Zanzibar  [Picha na Ikulu] 29/09/2021. 

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti a Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) alipokuwa akizungumza na Viongozi  wa Madhehebu ya Dini ya Kikristo katika mkutano uliofanyika leo katika Ukumbi wa Amani Utengamano Welezo Mjini  Zanzibar  [Picha na Ikulu] 29/09/2021. 

Baadhi ya  Viongozi  wa Madhehebu ya Dini ya Kikristo wakifurahia hotuba iliyotolewa na   Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi.alipokuwa akizungumza na Viongozi hao katika mkutano uliofanyika leo katika Ukumbi wa Amani Utengamano Welezo Mjini  Zanzibar  [Picha na Ikulu] 29/09/2021.

Share:

0 comments:

Post a Comment

Copyright © WAZO HURU | Powered by Blogger Design by ronangelo | Blogger Theme by NewBloggerThemes.com