METDO Tanzania

METDO Tanzania

Friday, September 10, 2021

EMMANUEL CHEREHANI ATEULIWA KUGOMBEA UBUNGE JIMBO LA USHETU KWA TIKETI YA CCM

Kamati kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa imempitisha Emmanuel Charahani kuwa mgombea Ubunge jimbo la Ushetu katika uchaguzi mdogo baada ya aliyekuwa Mbunge wa Jimbo hilo ambaye pia alikuwa Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Elias Kwandikwa kufariki dunia.
Share:

0 comments:

Post a Comment

Copyright © WAZO HURU | Powered by Blogger Design by ronangelo | Blogger Theme by NewBloggerThemes.com