METDO Tanzania

METDO Tanzania

Tuesday, June 15, 2021

Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan azindua Chelezo katika Bandari ya Mwanza South mkoani Mwanza

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akivuta na kukata utepe kuzindua Chelezo ambacho kinatumika kutengeneza Meli mpya ya MV Mwanza katika sherehe zilizofanyika katika Bandari ya Mwanza South mkoani Mwanza leo tarehe 15 Juni, 2021.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akitoka kuzindua Chelezo ambacho kinatumika kutengeneza Meli mpya ya MV Mwanza katika sherehe zilizofanyika katika Bandari ya Mwanza South mkoani Mwanza leo tarehe 15 Juni, 2021. 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akizindua kwa pamoja Meli ya MV New Victoria pamoja na New Butiama ambazo zimekarabatiwa katika Bandari ya Mwanza South mkoani Mwanza leo tarehe 15 Juni, 2021. PICHA NA IKULU

Share:

0 comments:

Post a Comment

Copyright © WAZO HURU | Powered by Blogger Design by ronangelo | Blogger Theme by NewBloggerThemes.com