Pierre-Emerick Aubameyang akiwanyooshea kidole mashabiki
kufurahi nao baada ya kuifungia Arsenal bao la ushindi dakika ya 64
ikiilaza Burnley 2-1 leo kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa
Emirates. Bao la kwanza la Arsenal limefungwa na Alexandre Lacazette
dakika ya 13, wakati la Burnley limefungwa na Ashley Barnes dakika ya
43 PICHA ZAIDI SOMA HAPA
Saturday, August 17, 2019
KARIBU TUME YA MAENDELEO YA USHIRIKA
KARIBU TUME YA MAENDELEO YA USHIRIKA
Popular Posts
-
Katibu Mkuu wa Wizara ya kilimo Mhandisi Mathew Mtigumwe Na Mathias Canal, Wizara ya Kilimo-Dodoma Katibu Mkuu wa Wizara ya kilim...
-
YANGA jana imerejesha furaha kwa mashabiki wake baada ya kushinda mabao 3-0 dhidi ya Majimaji katika mechi ya Ligi Kuu iliyochezwa kwenye...
-
Katibu Mtendaji wa Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) Dkt. Kedmon Mapana akisisitiza jambo wakati wa kikao na wakati na Katibu Mkuu Wizara ...
-
Nimebahatika kupata fursa kadhaa kukaa na kuzungumza na Mheshimiwa Rais Mstaafu Hayati Benjamin William Mkapa enzi za uhai wake....
Powered by Blogger.

0 comments:
Post a Comment