METDO Tanzania

METDO Tanzania

Tuesday, May 25, 2021

WAZIRI KALEMANI ATOA MAAGIZO MAZITO KWA WAKANDARASI WA MRADI WA REA III MZUNGUKO WA PILI

Waziri wa Nishati, Dkt. Medard Kalemani akizungumza na Wakandarasi kutoka Kampuni 34 ambao wanatekeleza Mradi wa usambazaji umeme Vijijini wa Awamu ya Tatu, mzunguko wa Pili (hawapo pichani) kilichofanyika leo Mei 25,2021 jijini Dodoma.

Naibu Waziri wa Nishati, Wakili Stephen Byabato  akizungumza wakati wa kikao na Wakandarasi kutoka Kampuni 34 ambao wanatekeleza Mradi wa usambazaji umeme Vijijini wa Awamu ya Tatu, mzunguko wa Pili (hawapo pichani) kilichofanyika leo Mei 25,2021 jijini Dodoma.

Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Nishati Vijijini REA, Mhandisi Amos Maganga,wakati wa kikao cha Waziri wa Nishati Dkt.Medard Kalemani na Wakandarasi kutoka Kampuni 34 ambao wanatekeleza Mradi wa usambazaji umeme Vijijini wa Awamu ya Tatu, mzunguko wa Pili (hawapo pichani)  kilichofanyika leo Mei 25,2021 jijini Dodoma.

Baadhi ya Wasimamizi wa Miradi ya usambazaji umeme vijijini kutoka Wizara ya Nishati, watendaji wa REA, TANESCO na wakandarasi wa  mradi wa usambazaji umeme vijijini wa Awamu ya Tatu mzunguko wa Pili wakimsikiliza Waziri wa Nishati, Dkt.Medard Kalemani (hayupo pichani) kilichofanyika leo Mei 25,2021 jijini Dodoma.wa mwisho kutoka kushoto ni Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Nishati Vijijini (REA), Mhandisi Jones Olotu.

  

Baadhi ya Mameneja wa TANESCO kutoka sehemu mbalimbali nchini pamoja na Wakandarasi wa mradi wa usambazaji umeme vijijini wa Awamu ya Tatu, mzunguko wa Pili wakimsikiliza Waziri wa Nishati, Dkt.Medard Kalemani (hayupo pichani) wakati alipofanya kikao na wakandarasi hao jijini Dodoma.

Share:

0 comments:

Post a Comment

Copyright © WAZO HURU | Powered by Blogger Design by ronangelo | Blogger Theme by NewBloggerThemes.com