METDO Tanzania

METDO Tanzania

Tuesday, May 25, 2021

RAIS MHE.SAMIA SULUHU AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA WAZIRI WA MAMBO YA NJE WA SAUDI ARABIA MWANAWAKIFALME MHE.FEISAL BIN FARHAN AL SAUD IKULU JIJINI DAR ES SALAAM

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Waziri wa Mambo ya Nje ya Saudia Arabia Mwanawakifalme Mhe. Faisal Bin Farhan Al Saud mara baada ya kuwasili Ikulu Jijini Dar es Salaam leo tarehe 25 Mei, 2021

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akiwa katika mazungumzo na Waziri wa Mambo ya Nje ya Saudia Arabia Mwanawakifalme Mhe. Faisal Bin Farhan Al Saud mara baada ya kuwasili Ikulu Jijini Dar es Salaam leo tarehe 25 Mei, 2021.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya pamoja na mgeni wake Waziri wa Mambo ya Nje ya Saudia Arabia Mwanawakifalme Mhe. Faisal Bin Farhan Al Saud mara baada ya mazungumzo yao Ikulu Jijini Dar es Salaam leo tarehe 25 Mei, 2021.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akiagana na mgeni wake Waziri wa Mambo ya Nje ya Saudia Arabia Mwanawakifalme Mhe. Faisal Bin Farhan Al Saud mara baada ya mazungumzo yao Ikulu Jijini Dar es Salaam leo tarehe 25 Mei, 2021. PICHA NA IKULU

Share:

0 comments:

Post a Comment

Copyright © WAZO HURU | Powered by Blogger Design by ronangelo | Blogger Theme by NewBloggerThemes.com