Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Mjumbe wa Baraza la Taifa na Waziri wa Mambo ya Nje wa China Wang Yi kabla ya kuanza mazungumzo yao yaliyofanyika katika Ikulu ndogo ya Chato mkoani Geita leo tarehe 08 Januari 2021.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
akishuhudia utiaji Saini wa mkataba wa Ujenzi wa Reli ya Kisasa SGR kutoka
Mwanza hadi Isaka mkoani Shinyanga km 341 kati ya Shirika la Reli Tanzania TRC
kupitia Mkurugenzi wake Mkuu Masanja Kungu Kadogosa na Ubia wa Kampuni mbili za Kichina, China
Civil Engineering Construction Corporation CCECC na China Railway Construction
Corporation Limited CRCC kupitia Mtendaji Mkuu wa CCECC Zhang Junle katika hafla fupi iliyofanyika katika Ikulu
ndogo ya Chato mkoani Geita leo tarehe 08 Januari 2021.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
akimsikiliza Mjumbe wa Baraza la Taifa na Waziri wa Mambo ya Nje wa China Wang
Yi wakati akizungumza mara baada ya utiaji saini wa Ujenzi wa Reli ya Kisasa
SGR kutoka Mwanza hadi Isaka mkoani Shinyanga km 341 kati ya Shirika la Reli
Tanzania TRC na Ubia wa Kampuni mbili za Kichina, China Civil Engineering
Construction Corporation CCECC na China Railway Construction Corporation
Limited CRCC katika hafla fupi iliyofanyika katika Ikulu ndogo ya Chato mkoani
Geita leo tarehe 08 Januari 2021.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe
Magufuli akizungumza na viongozi mbalimbali mara baada ya kushuhudia utiaji
saini wa Ujenzi wa Reli ya Kisasa SGR kutoka Mwanza hadi Isaka mkoani Shinyanga
km 341 kati.
0 comments:
Post a Comment