METDO Tanzania

METDO Tanzania

Monday, November 18, 2019

WAZIRI MKUU AKAGUA UJENZI WA OFISI ZA TUME YA UCHAGUZI, NJEDENGWA JIJINI DODOMA


Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akikagua ujenzi wa jengo la Ofisi ya Tume ya Uchaguzi (NEC), uliyopo Njedengwa, jijini Dodoma, ambao haujakamilika kwa wakati, Novemba 18, 2019.
 Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akizungumza na Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Ujenzi (TBA), Humphrey Killo (kulia), wakati alipoenda kukagua ujenzi wa jengo la Ofisi ya Tume ya Uchaguzi (NEC), iliyopo Njedengwa, jijini Dodoma, Novemba 18, 2019, baada ya kutoridhishwa na maendeleo ya mradi huo.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akisalimiana na Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu (anayeshughulikia Bunge na Waziri Mkuu), wakati alipoenda kukagua ujenzi wa jengo la Ofisi ya Tume ya Uchaguzi (NEC), iliyopo Njedengwa, jijini Dodoma, Novemba 18, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu
Share:

0 comments:

Post a Comment

Copyright © WAZO HURU | Powered by Blogger Design by ronangelo | Blogger Theme by NewBloggerThemes.com