METDO Tanzania

METDO Tanzania

Thursday, December 24, 2020

RAIS DKT. MAGUFULI AMUAPISHA JAJI SIVANGILWA SIKALALIWA MWANGESI KUWA KAMISHNA WA MAADILI

Kamishna wa Maadili Jaji Sivangilwa Sikalaliwa Mwangesi 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Jaji Sivangilwa Sikalailwa Mwangesi kuwa Kamishna wa Maadili katika hafla fupi iliyofanyika Ikulu Chamwino asubuhi leo Disemb a 24, 2020.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimksbidhi nyenzo za kazi Jaji Sivangilwa Sikalailwa Mwangesi baada ya kumuapisha kuwa Kamishna wa Maadili katika hafla fupi iliyofanyika Ikulu Chamwino asubuhi leo Disemb a 24, 2020
Share:

0 comments:

Post a Comment

Copyright © WAZO HURU | Powered by Blogger Design by ronangelo | Blogger Theme by NewBloggerThemes.com