Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe
Magufuli akiwa pamoja na viongozi mbalimbali wa Arusha na Kilimanjaro akikata
utepe kuashiria uzinduzi wa huduma ya usafiri wa Treni ya Abiria ya Shirika la
Reli TRC kutoka Dar es Salaam hadi Arusha katika hafla fupi iliyofanyika katika
Stesheni ya Arusha leo tarehe 24 Oktoba 2020.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwapungia mkono wananchi wa Arusha mara baada ya kuzindua huduma ya usafiri wa Treni ya Abiria ya Shirika la Reli TRC kutoka Dar es Salaam hadi Arusha katika hafla fupi iliyofanyika katika Stesheni ya Arusha leo tarehe 24 Oktoba 2020.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe
Magufuli akizungumza jambo na Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na
Mawasiliano (Sekta ya Uchukuzi) Dkt. Leonard Chamuriho mara baada ya kukagua
moja ya behewa la treni hiyo ya abiria ya kutoka Dar hadi Arusha.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe
Magufuli akitoa maelekezo kwa viongozi wa TRC mara baada ya kuzindua huduma ya
usafiri wa Treni ya Abiria ya Shirika la Reli TRC kutoka Dar es Salaam hadi
Arusha katika hafla fupi iliyofanyika katika Stesheni ya Arusha leo tarehe 24
Oktoba 2020.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe
Magufuli akitoka kukagua moja ya behewa la abiria mara baada ya kuzindua huduma
ya usafiri wa Treni ya Abiria ya Shirika la Reli TRC kutoka Dar es Salaam hadi
Arusha katika hafla fupi iliyofanyika katika Stesheni ya Arusha leo tarehe 24
Oktoba 2020.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe
Magufuli akizungumza na wananchi wa Arusha kabla ya kuzindua huduma ya usafiri
wa Treni ya Abiria ya Shirika la Reli TRC kutoka Dar es Salaam hadi Arusha
katika hafla fupi iliyofanyika katika Stesheni ya Arusha leo tarehe 24 Oktoba
2020.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe
Magufuli akizungumza na wananchi wa Arusha akiwa juu ya treni ya Abiria mara
baada ya kuzindua huduma ya usafiri wa Treni ya Abiria ya Shirika la Reli TRC
kutoka Dar es Salaam hadi Arusha katika hafla fupi iliyofanyika katika Stesheni
ya Arusha leo tarehe 24 Oktoba 2020. PICHA NA IKULU.
0 comments:
Post a Comment