METDO Tanzania

METDO Tanzania

Friday, October 9, 2020

MGOMBEA WA URAIS WA CCM RAIS DKT. MAGUFULI AONGEA NA WANANCHI WA WILAYA YA TEMEKE JIJINI DAR ES SALAAM

Mgombea Urais wa Chama cha Mapinduzi ambaye pia ni mwenyekiti wa Chama hicho Tawala Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongea na maelfu ya wananchi wa wilaya ya Temeke wakati wa mkutano wake wa kampeni katika Uwanja wa Benjamin Mkapa jijini Dar es salaam leo Ijumaa Oktoba 9, 2020


Mgombea Urais wa Chama cha Mapinduzi ambaye pia ni mwenyekiti wa Chama hicho Tawala Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiaga baada ya kuongea na maelfu ya wananchi wa Temeke katika mkutano wake wa kampeni katika Uwanja wa Benjamin Mkapa jijini Dar es salaam leo Ijumaa Oktoba 9,2020.
Share:

0 comments:

Post a Comment

Copyright © WAZO HURU | Powered by Blogger Design by ronangelo | Blogger Theme by NewBloggerThemes.com