METDO Tanzania

METDO Tanzania

Wednesday, October 21, 2020

Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli azungumza na Wananchi wa Moshi mkoani Kilimanjaro


Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Wananchi wa Moshi waliofurika katika mkutano wa Kampeni za CCM uliofanyika katika uwanja wa Ushirika Moshi mkoani Kilimanjaro leo tarehe 21 Oktoba 2020.

Sehemu ya Wananchi wa Moshi waliohudhuria Mkutano wa Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli uliofanyika katika uwanja wa Ushirika Moshi mkoani Kilimanjaro leo tarehe 21 Oktoba 2020.

Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwasili katika uwanja wa Ushirika Moshi mkoani Kilimanjaro kwa ajili ya mkutano wa Kampeni za CCM leo tarehe 21 Oktoba 2020.

Share:

0 comments:

Post a Comment

Copyright © WAZO HURU | Powered by Blogger Design by ronangelo | Blogger Theme by NewBloggerThemes.com