Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwasili katika Uwanja wa CCM Samora mjini Iringa kwa ajili ya kuwahutubia Wananchi wa Iringa mjini katika mkutano wa Kampeni wa CCM leo leo tarehe 28 Septemba 2020.

Mgombea
Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
akizungumza na Wananchi wa Iringa Mjini katika mkutano wa Kampeni wa CCM
uliofanyika leo tarehe 28 Septemba 2020 katika uwanja wa CCM Samora
Wananchi
wa Iringa mjini wakiwa wamefurika katika uwanja wa CCM Samora mjini Iringa
kumsikiliza Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mheshimiwa Dkt.
John Pombe Magufuli alipokuwa akiwahutubia mara baada ya kuwasili wakati
akitokea jijini Dodoma leo tarehe 28 Septemba 2020.
0 comments:
Post a Comment