Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa Makambako mkoani Njombe katika Mkutano wa Kampeni wa CCM leo tarehe 29 Septemba 2020 Makambako mjini

Sehemu ya Wananchi wa Makambako waliohudhuria mkutano wa Kampeni wa Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 29 Septemba 2020 Makambako mjini

Mgombea
Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
akiwasili Makambako mjini kwa ajili ya kuwahutubia wananchi wa Makambako leo
tarehe 29 Septemba 2020.
Chopa ya
CCM ikikatisha katika mji wa Makambako mkoani Njombe kwa ajili ya Kampeni za
Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe
Magufuli leo tarehe 29 Septemba 2020.
0 comments:
Post a Comment