
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
akiwa na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Profesa
Palamagamba Kabudi katika picha ya pamoja na Balozi wa Marekani hapa nchini
Donald John Wright Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimsikiliza Balozi wa Viet Nam
hapa nchini Nguyen Nam Tien mara baada ya kuwasilisha Hati za Utambulisho kwake
katika hafla fupi iliyofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Waziri wa Mambo ya Nje
na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Profesa Palamagamba Kabudi katika picha ya
pamoja na Balozi wa Viet Nam hapa nchini Nguyen Nam Tien mara baada ya
kuwasilisha Hati za Utambulisho kwake katika hafla fupi iliyofanyika Ikulu
jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika mazungumzo na Balozi wa Viet Nam hapa nchini Nguyen Nam Tien mara baada ya kuwasilisha Hati za Utambulisho kwake katika hafla fupi iliyofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam.
Balozi wa Viet Nam hapa nchini Nguyen Nam Tien akiwa amesimama wakati nyimbo za Mataifa Mawili ya Tanzania na Viet Nam zikipigwa na Brass Band ya Polisi katika mapokezi yake Ikulu jijini Dar es Salaam. PICHA NA IKULU.
0 comments:
Post a Comment