Kada wa Chama Cha Mapinduzi Dr.Musa Leonard Mdede amechukua fomu ya kuomba kuteuliwa kugombea Ubunge wa Jimbo la Kalenga kupitia Chama hicho
Kada wa Chama Cha Mapinduzi Dr.Musa Leonard Mdede akiwa ameambatana na mke wake kuchukua fomu ya kuomba kuteuliwa kugombea Ubunge wa Jimbo la Kalenga kupitia Chama hicho.
Kada wa Chama Cha Mapinduzi Dr.Musa Leonard Mdede amechukua fomu ya kuomba kuteuliwa kugombea Ubunge wa Jimbo la Kalenga kupitia Chama hicho
Dr.Mdede amefika ktk Ofisi za CCM wilaya ya Iringa vijijini akiwa ameambatana na Mkewe Mwl.Vera Lameck ,mama yake mzazi,marafiki na wanafamilia wengine
Dr.Mdede ambaye ni daktari wa binadamu kitaaluma amechukua fomu ktk Ofisi za CCM wilaya ya Iringa vijijini ambapo amekabidhiwa fomu hiyo na Katibu wa CCM wa wilaya hiyo Mobutu Malima.
0 comments:
Post a Comment