Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Dkt. Mwigulu Lameck
Nchemba (
Mbunge wa Iramba Magharibi)
kuwa Waziri wa Katiba na Sheria. Hafla
iliyofanyika Wilayani Chato Mkoani Geita , Mei 03, 2020.
Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (
Mbunge wa Iramba Magharibi) akila kiapo
mbele ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe
Magufuli kuwa Waziri wa Katiba na Sheria. Hafla iliyofanyika Wilayani Chato
Mkoani Geita , , Mei 03, 2020.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akisaini hati ya kiapo ya
Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (
Mbunge wa Iramba Magharibi) kuwa Waziri
wa Katiba na Sheria. Hafla iliyofanyika Wilayani Chato Mkoani Geita ,
Aprili 22, 2020.
Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (
Mbunge wa Iramba Magharibi) akizunguma
mbele ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe
Magufuli mara baada ya kuapishwa kuwa Waziri wa Katiba na Sheria. Hafla
iliyofanyika Wilayani Chato Mkoani Geita , , Mei 03, 2020.
Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza mara baada ya
kumuapisha Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (
Mbunge
wa Iramba Magharibi) kuwa Waziri wa Katiba na Sheria. Hafla iliyofanyika
Wilayani Chato Mkoani Geita , Aprili 22, 2020.
Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (
Mbunge
wa Iramba Magharibi) akisaini hati ya kiapo mbele ya Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli mara baada ya kuapa
kuwa Waziri wa Katiba na Sheria. Hafla iliyofanyika Wilayani Chato Mkoani Geita
, , Mei 03, 2020.
Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (
Mbunge wa Iramba Magharibi) mara baada
ya kuapishwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John
Pombe Magufuli kuwa Waziri wa Katiba na Sheria. Hafla iliyofanyika Wilayani
Chato Mkoani Geita , , Mei 03, 2020.
0 comments:
Post a Comment