METDO Tanzania

METDO Tanzania

Friday, May 29, 2020

MATUKIO YA MHESHIMIWA WAZIRI MKUU BUNGENI

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Wabunge, katika viwanja vya Bunge jijini Dodoma, May 28, 2020. Kutoka kushoto ni Mbunge wa Gairo, Ahmed Shabiby na Mbunge wa Busega, Raphael Chegeni. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Wabunge, katika viwanja vya Bunge jijini Dodoma, May 28, 2020. Kutoka kushoto ni Mbunge wa Buhigwe, Albert Obama, Naibu Waziri wa Elimu Sayansi na Teknolojia, William Olenasha, Mbunge wa Viti Maalum, Ester Mahawe, Mbunge Bukoba Vijijini, Jasson Rweikiza, Mbunge wa Kilolo, Venance Mwamoto. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Naibu Waziri wa Madini, Ladislaus Nyongo, katika viwanja vya Bunge jijini Dodoma, May 28, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Share:

0 comments:

Post a Comment

Copyright © WAZO HURU | Powered by Blogger Design by ronangelo | Blogger Theme by NewBloggerThemes.com