METDO Tanzania

METDO Tanzania

Friday, March 13, 2020

RAIS DKT MAGUFULI AZINDUA KARAKANA KUU YA JWTZ LUGALO JIJINI DAR ES SALAAM LEO

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Jenerali Venance Mabeyo na Balozi wa Ujerumani nchini Bi. Regine Hess wakifunua pazia kuashiria uzinduzi wa karakarana kuu ya Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) Lugalo jijini Dar es salaam leo Ijumaa Machi 13, 2020
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipongezana na Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Dkt. Hussein Mwinyi,  Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Jenerali Venance Mabeyo na Balozi wa Ujerumani nchini Bi. Regine Hess baada ya kuzindua karakarana kuu ya Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) Lugalo jijini Dar es salaam leo Ijumaa Machi 13, 2020
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akikata utepe akiwa na Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Dkt. Hussein Mwinyi,  Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Jenerali Venance Mabeyo na Balozi wa Ujerumani nchini Bi. Regine Hess na viongozi wa vyombo vya ulinzi na usalama kuashiria uzinduzi wa karakarana kuu ya Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) Lugalo jijini Dar es salaam leo Ijumaa Machi 13, 2020
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na  Balozi wa Ujerumani nchini Bi. Regine Hess akikagua sehemu za ufundi wa magari baada ya kuzindua karakarana  kuu ya Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) Lugalo jijini Dar es salaam leo Ijumaa Machi 13, 2020
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Dkt. Hussein Mwinyi,  Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Jenerali Venance Mabeyo na Balozi wa Ujerumani nchini Bi. Regine Hess na viongozi wa vyombo vya ulinzi akitoka kukagua karakarana kuu ya Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) Lugalo jijini Dar es salaam baada ya kuizindua leo Ijumaa Machi 13, 2020
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Dkt. Hussein Mwinyi,  Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Jenerali Venance Mabeyo na akimpongeza ka hotuba nzuri Balozi wa Ujerumani nchini Bi. Regine Hess wakati wa sherehe ya uzinduzi wa karakarana kuu ya Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) Lugalo jijini Dar es salaam baada ya kukabidhiwa leo Ijumaa Machi 13, 2020
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongea na waandishi wa habari wa vyombo mbalimbali akiwaomba waelimishe umma kuhusu kujikinga na maambukizi ya viurusi vya Corona baada ya kukabidhiwa  karakana kuu ya Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) Lugalo jijini Dar es salaam baada ya kukabidhiwa leo Ijumaa Machi 13, 2020.
Share:

0 comments:

Post a Comment

Copyright © WAZO HURU | Powered by Blogger Design by ronangelo | Blogger Theme by NewBloggerThemes.com