Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na wanafunzi wa Shule ya Msingi ya Dar es salaam Independent School ya Mikocheni ambao walifika bungeni jijini Dodoma kwa ziara ya mafunzo, Februari, 4, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na Naibu Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson wakiwa katika picha ya pamoja na wanafunzi wa Shule ya Misingi ya Dar es salaam Independent School ya Mikocheni ambao walifika bungeni jijini Dodoma kwa ziara ya mafunzo, Februari 4, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Urambo Margaret Sita (kushoto) na Mbunge wa Viti Malaam, Mwanne Mchemba kwenye vivanja vya bunge jijini Dodoma, Februari 4, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiongozana na Mbunge wa Rufiji, Mohamed Mchengerwa kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Februari 4, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
0 comments:
Post a Comment