METDO Tanzania

METDO Tanzania

Tuesday, February 4, 2020

WAZIRI MKUU, KASSIM MAJALIWA AKIZUNGUMZA NA BAADHI YA WABUNGE,BUNGENI JIJINI DODOMA FEBRUARI 4, 2020

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Kuteuliwa, Mama Salma Kikwete, bungeni jijini Dodoma, Februari 4, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) 
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge,Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu,  Jenista Mhagama (kushoto) akizungumza na Waziri wa Nishati, Dkt. Medard  Kalemani (kulia) na Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Profesa Adelardus Kilangi, bungeni jijini Dodoma, Februari 4, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) 


Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene, bungeni jijini Dodoma, Februari 4, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) 

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Nishati, Dkt. Medard Kalemani, bungeni jijini Dodoma Februari 4, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) 
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Mafinga Mjini, Cosato Chumi, bungeni jijini Dodoma, Februari 4, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) 
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye ulemavu, Jenista Mhagama akizungumza na mbunge wa Viti Maalum Jackline Ngonyani Mshongozi (kushoto), bungeni jijini Dodoma, Februari 4, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) 
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano,  Mhandisi Isack Kamwelwe, bungeni jijini Dodoma, Februari 4, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu
Share:

0 comments:

Post a Comment

Copyright © WAZO HURU | Powered by Blogger Design by ronangelo | Blogger Theme by NewBloggerThemes.com