METDO Tanzania

METDO Tanzania

Monday, February 24, 2020

RAIS DKT MAGUFULI AKUTANA NA PROFESA PLO LUMUMBA IKULU JIJINI DAR ES SALAAM LEO



Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na  Msomi na Mwanamajumui (Pan-Africanist)  kutoka Kenya Profesa Patrick Loch Otieno Lumumba (Maarufu zaidi kama Profesa PLO Lumumba)  alipokutana na kufanya naye mazungumzo  Ikulu jijini Dar es salaam


leo Jumatatu February 24.  2020

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika mazungumzo na Msomi na Mwanamajumui (Pan-Africanist) kutoka Kenya Profesa Patrick Loch Otieno Lumumba ( Maarufu zaidi kama Profesa PLO Lumumba)  alipokutana na kufanya naye mazungumzo  Ikulu jijini Dar es salaam leo Jumatatu February 24.  2020. Kushoto ni Katibu Mkuu Wizara ya Madini Profesa Simon Msanjila
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimpatia zawadi ya kinyago cha Msomi na Mwanamajumui (Pan-Africanist)  kutoka Kenya Profesa Patrick Loch Otieno Lumumba ( Maarufu zaidi kama Profesa PLO Lumumba) alipokutana na kufanya naye mazungumzo  Ikulu jijini Dar es salaam leo Jumatatu February 24.  2020.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimsindikiza Msomi na Mwanamajumui (Pan-Africanist)  kutoka Kenya Profesa Patrick Loch Otieno Lumumba ( Maarufu zaidi kama Profesa PLO Lumumba) baada ya kukutana na kufanya naye mazungumzo  Ikulu jijini Dar es salaam leo Jumatatu February 24.  2020.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Msomi na Mwanamajumui (Pan-Africanist) kutoka Kenya Profesa Patrick Loch Otieno Lumumba ( Maarufu zaidi kama Profesa PLO Lumumba) baada ya kukutana na kufanya naye mazungumzo  Ikulu jijini Dar es salaam leo Jumatatu February 24.  2020.
Share:

0 comments:

Post a Comment

Copyright © WAZO HURU | Powered by Blogger Design by ronangelo | Blogger Theme by NewBloggerThemes.com