METDO Tanzania

METDO Tanzania

Wednesday, January 8, 2020

Zoezi la Usajili Vitambulisho Vya Taifa Lashika Kasi




Wananchi wa Jijini la Dar es Salaam, wakiwa wamepanga mstari katika Viwanja vya Mnazi Mmoja wakiendelea na zoezi la usajili wa Vitambulisho vya Taifa linaloendelea Nchi nzima, kufuatia agizo la Rais  Dkt. Magufuli kwa mamlaka ya mawasiliano Tanzania (TCRA) kuongeza siku 20 hadi kufikia mpaka January 20 mwaka huu kuwapatia nafasi wananchi waweze kupata namba ya Utambulisho wa Taifa na kuepusha kufungiwa laini zao za Simu.
Baadhi ya Vifaa  kutoka Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa  vinavyotumika kuwahudumia wananchi waliojitokeza eneo la Mnazi Mmoja Jijini Dar es Salaam kwenye zoezi la usajili wa Vitambulisho vya Taifa linaloendelea Nchi nzima, kufuatia agizo la Rais  Dkt. Magufuli kwa mamlaka ya mawasiliano Tanzania (TCRA) kuongeza siku 20 hadi kufikia mpaka January 20 mwaka huu kuwapatia nafasi wananchi waweze kupata namba ya Utambulisho wa Taifa na kuepusha kufungiwa laini zao za Simu.
Baadhi Wafanyakazi   kutoka Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa  wakiwahudumia wananchi waliojitokeza eneo la Mnazi Mmoja Jijini Dar es Salaam kwenye zoezi la usajili wa Vitambulisho vya Taifa linaloendelea Nchi nzima, kufuatia agizo la Rais  Dkt. Magufuli kwa mamlaka ya mawasiliano Tanzania (TCRA) kuongeza siku 20 hadi kufikia mpaka January 20 mwaka huu kuwapatia nafasi wananchi waweze kupata namba ya Utambulisho wa Taifa na kuepusha kufungiwa laini zao za Simu.
Afisa kutoka Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa akimuhudumia mwananchi aliyejitokeza eneo la Mnazi Mmoja Jijini Dar es Salaam kwenye zoezi la usajili wa Vitambulisho vya Taifa linaloendelea Nchi nzima, kufuatia agizo la Rais  Dkt. Magufuli kwa mamlaka ya mawasiliano Tanzania (TCRA) kuongeza siku 20 hadi kufikia mpaka January 20 mwaka huu kuwapatia nafasi wananchi waweze kupata namba ya Utambulisho wa Taifa na kuepusha kufungiwa laini zao za Simu.
Wananchi wakipata huduma ya Usajili  wa kupata kitambulisho cha Taifa katika Mnazi Mmoja Jijini Dar es Salaam  zoezi ambalo linaendelea Nchi nzima, kufuatia agizo la Rais Dkt. Magufuli kwa mamlaka ya mawasiliano Tanzania (TCRA) kuongeza siku 20 hadi kufikia mpaka January 20 mwaka huu  kuwapatia nafasi wananchi waweze kupata namba ya Utambulisho wa Taifa na kuepusha kufungiwa laini zao za Simu.
(PICHA NA MAELEZO)
Share:

0 comments:

Post a Comment

Copyright © WAZO HURU | Powered by Blogger Design by ronangelo | Blogger Theme by NewBloggerThemes.com