METDO Tanzania

METDO Tanzania

Sunday, January 19, 2020

ZIARA YA WAZIRI MKUU PEMBA JANUARY 19.2020

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akisalimiana na Makamu wa Pili wa Rais Zanzibar, Balozi, Seif Ali Iddi, wakati akiwasili wa ndege wa Chakechake Pema, akiwa kwenye ziara ya kikazi ya siku tatu Unguja na Pemba. Januari 17, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) 
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akimsikiliza Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Pemba, Omar Khamis Othman, wakati akitoa taarifa ya Mkoa, baada ya kuwasili Pema, akiwa kwenye ziara ya kikazi ya siku tatu Unguja na Pemba. Januari 17, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) 
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akikagua mradi wa nyumba za Polisi Mfikiwa, Chakechake Kusini Pemba. Januari 17, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Share:

0 comments:

Post a Comment

Copyright © WAZO HURU | Powered by Blogger Design by ronangelo | Blogger Theme by NewBloggerThemes.com