Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt,John Pombe Magufuli akiteremka katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Aman Abeid Karume tayari kwa ajili ya kuanza ziara yake ya siku mbili pia kuhudhuria Sherehe za miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt,John Pombe Magufuli akisalimiana na Makamu wa pili wa Rais wa Zanzibar Baloz Seif Ali Idi mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Aman Abeid Karume tayari kwa kuanza ziara yake ya siku mbili pia kuhudhuria Sherehe za miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt,John Pombe Magufuli akisalimiana na Viongozi mbalimbali mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Aman Abeid Karume tayari kwa kuanza ziara yake ya siku mbili pia kuhudhuria Sherehe za miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt,John Pombe Magufuli akiangalia Ngoma za Utamaduni mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Aman Abeid Karume tayari kwa kuanza ziara yake ya siku mbili pia kuhudhuria Sherehe za miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt,John Pombe Magufuli akimtunza Mcheza Ngoma za Utamaduni wakati alipoangalia ngoma hizo alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Aman Abeid Karume tayari kwa kuanza ziara yake ya siku mbili pia kuhudhuria Sherehe za miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akiongea na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibare Balozi Seif Ali Iddi
(aliyeketi) na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dkt.Abdallah Juma
Sadallah ‘Mabodi’ mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa
Kimataifa wa Sheikh Abeid Amani Karume mjini Unguja tayari kushiriki
katika Sherehe za Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar zitazofikia kilele
siku ya Jumapili Januari 12, 2020
PICHA N A YUSSUF SIMAI/MAELEZO ZANZIBAR.
0 comments:
Post a Comment