Friday, January 10, 2020

RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA DKT,JOHN POMBE MAGUFULI AWASILI ZANZIBAR


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt,John Pombe Magufuli akiteremka katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Aman Abeid Karume tayari kwa ajili ya kuanza ziara yake ya siku mbili pia kuhudhuria  Sherehe za miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt,John Pombe Magufuli akisalimiana na Makamu wa pili wa Rais wa Zanzibar Baloz Seif Ali Idi mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Aman Abeid Karume tayari kwa  kuanza ziara yake ya siku mbili pia kuhudhuria  Sherehe za miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt,John Pombe Magufuli akisalimiana na Viongozi mbalimbali  mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Aman Abeid Karume tayari kwa  kuanza ziara yake ya siku mbili pia kuhudhuria  Sherehe za miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt,John Pombe Magufuli akiangalia Ngoma za Utamaduni  mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Aman Abeid Karume tayari kwa  kuanza ziara yake ya siku mbili pia kuhudhuria  Sherehe za miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt,John Pombe Magufuli akimtunza Mcheza  Ngoma za Utamaduni  wakati alipoangalia ngoma hizo alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Aman Abeid Karume tayari kwa  kuanza ziara yake ya siku mbili pia kuhudhuria  Sherehe za miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akiongea na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibare Balozi Seif Ali Iddi
(aliyeketi) na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dkt.Abdallah Juma
Sadallah ‘Mabodi’ mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa
Kimataifa wa Sheikh Abeid Amani Karume mjini Unguja  tayari kushiriki
katika Sherehe za Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar zitazofikia kilele
siku ya Jumapili Januari 12, 2020
PICHA N A YUSSUF SIMAI/MAELEZO ZANZIBAR.

No comments:

Post a Comment