METDO Tanzania

METDO Tanzania

Tuesday, December 10, 2019

WAZIRI MKUU, KASSIM MAJALIWA, ATEMBELEA KIWANDA CHA NYANZA BOTTLING, KIYICHOPO JIJINI MWANZA

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akiangalia soda, inayozalishwa katika kiwanda cha Nyanza Bottling, kilichopo jijini Mwanza, kabla ya kuzindua upanuzi wa kiwanda hicho, Desemba 10, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akikata utepe kuzindua upanuzi wa kiwanda cha Nyanza Bottling, kilichopo jijini Mwanza, Desemba 10, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akifungua upanuzi wa kiwanda cha Nyanza Bottling, kilichopo jijini Mwanza, Desemba 10, 2019.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akikagua ghala la kuhifadhia soda, katiak kiwanda cha Nyanza Bottling, kilichopo jijini Mwanza, baada ya kufungua rasmi upanuzi wa kiwanda hicho, Desemba 10, 2019.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akiangalia mashine ya kuzalisha mvuke unaotumika katika uzalishaji, kwenye kiwanda cha Nyanza Bottling, kilichopo jijini Mwanza, baada ya kufungua rasmi upanuzi wa kiwanda hicho, Desemba 10, 2019.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akikagua mitambo ya kuzalisha soda, katika kiwanda cha Nyanza Bottling, kilichopo jijini Mwanza, baada ya kufungua rasmi upanuzi wa kiwanda hicho, Desemba 10, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Share:

0 comments:

Post a Comment

Copyright © WAZO HURU | Powered by Blogger Design by ronangelo | Blogger Theme by NewBloggerThemes.com