METDO Tanzania

METDO Tanzania

Sunday, December 22, 2019

RAIS DKT. MAGUFULI AMJULIA HALI BW. GERVACE MAKOYE KATIBU WA CCM WA WILAYA YA MBOGWE NA ALIYEWAI KUWA KATIBU KWA MIAKA 10 WA MHE. MAGUFULI ALIPOKUWA MBUNGE. ANAYEPATIWA MATIBABU NYUMBANI KWAKE MTAA KALEMA MJINI CHATO

 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Bw. Gervace Stephano Makoye katibu wa Ccm wilaya ya Mbogwe Mkoani Geita alipomtembelea ili kumjulia hali nyumbani kwake Chato. Disemba 22, 2019. Bw. Makoye aliyewahi kuwa katibu wa Mhe. Magufuli kwa miaka 10 wakati akiwa Mbunge wa Chato anaendelea na matibabu nyumbani kwake katika Mtaa wa Kalema Chato Mjini Mkoani Geita.
Share:

0 comments:

Post a Comment

Copyright © WAZO HURU | Powered by Blogger Design by ronangelo | Blogger Theme by NewBloggerThemes.com